Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
*Kuna watu wachoyo sijapata kuona*...
_Nimepita kwa rafiki yangu nikakuta kabandika maji ya kusongea ugali yanachemka pembeni kuna unga na mwiko ila aliponiona uwezi amin ameyapoza kaenda kuoga_
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]