igweeeeeeeeeeeeee!! jf. kwa muda sasa watu wamekuwa wakiwatafuta wenza kupitia forum hii, sasa nashangaa kwa nini hawaleti mrejesho nyuma(feedback)??. Yaani kama kwa babu watu wanagonga kikombe alafu hawatoi feedback. Mi ningefurahi kama wangetokea tukahudhuria na harusi zao pia. Inapendeza saana unajua. ila tatizo mtu anaandika anataka mwenza hatujui alipata au alikosa au alikutana na vibweka. Kwa nini hamsemi jamaniiiiii ili mtushawishi na wengine?????
mhhh nawewe unataka kusema unataka kutafuta?
bas usipate tabu nipo apa tayar ukituma post jua rose ashakua wako
Naulivyo mrembo, wee wataka kumpa jamaa pressure bure!
ha ha ha kama utani vile napata mwenza bila kigezo wala masharti yoyoote. Igweeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!. Rose mpenzi kam vp twenzetu chumbani(pm) hapa sebuleni sequrity camera zipo ON.hahah hahh imebd nimsaidie kujitokeza...m hereeeeeeeeeeeeee....mwambie aje namsubiri apa!!!
Mimi natoa amrejesho: Nilifanikiwa kumpata mtu na maandalizi ya harusi tayari yameshaanza!!!Tukijaaliwa mwezi wa kumi tutakua wamoja!
Usisahau kunialika my dear
Mimi natoa amrejesho: Nilifanikiwa kumpata mtu na maandalizi ya harusi tayari yameshaanza!!!Tukijaaliwa mwezi wa kumi tutakua wamoja!
Hongera, naomba nipate kadi ndio ntaamini.
hongera kwa kumpata wako mwenza! ila kadi za mchango ni muhimu,mi niko interested na kukuchangia il ndoa yenu ifanikiwe.Mimi natoa amrejesho: Nilifanikiwa kumpata mtu na maandalizi ya harusi tayari yameshaanza!!!Tukijaaliwa mwezi wa kumi tutakua wamoja!
Ntakutumia ya mchango!
wengine walijua hili ni jukwaa la udaku na kutafuta wachumba, mtu anaingia siku hiyi hiyo post ya kwanza anatafuta mchumba!
Hizo ni tabia za wadaku. Na unaweza kuta tayari wako "married", halafu kibaya zadi dini zao ni zile zinayoruhusu ke/me mmoja tu sasa mchumba wa nini tena, wakati uliapa kuwa na huyo tu mpaka kifo kiwatenge?.