Uchumba ni muda gani

mpe pole huyo mdada, ila mwambie maisha hayaishi baada ya kutoswa na mchumba. nina rafiki yangu keshavua pete 3 za uchumba, na sasa amevalishwa ya 4, lakini kila akitoswa tunambembeleza wiki kadhaa anapona.
 
Jamani am very sory kwa huyo rafiki yako jaman ukweli wanaume sasa ivi ni wasanii kweli jaman tunatakiwa kuwa makin mi mwenyewe yamenikuta but cjajirusha wala nini nimechukulia poaaaa ila kupenda tena ndo itakuwa tabu.............I HATE MEN
 
mawazo yenu yooote ni mazuri.... ila mbon nikina dada tu ndo wanalalamika Je wakaka hukuna aliyetoswa na mchumba yaaaan karibia aoe vile mara dah wengine wakamchakachua akanogewa then akakutosa haipo hiyooo et Mchungaji?
 
mpe pole huyo mdada, ila mwambie maisha hayaishi baada ya kutoswa na mchumba. nina rafiki yangu keshavua pete 3 za uchumba, na sasa amevalishwa ya 4, lakini kila akitoswa tunambembeleza wiki kadhaa anapona.

Du huyo anaonesha ni mrahis kudanganywa huyo pete nne!!! na sidhsni kama washkaji walimuacha.
 
Jamani am very sory kwa huyo rafiki yako jaman ukweli wanaume sasa ivi ni wasanii kweli jaman tunatakiwa kuwa makin mi mwenyewe yamenikuta but cjajirusha wala nini nimechukulia poaaaa ila kupenda tena ndo itakuwa tabu.............I HATE MEN

sasa ukituhate sisi utampenda nani?
 
Inashauriwa uchumba usiwe chini ya miezi 6 na usizidi miaka 2.Kuchakachuana ni vizuri japo dini hairuhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…