"Uchumba sugu" wa Erick Omondi na girl friend wake umekufa kifo cha mende.

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
70,916
Reaction score
141,437
Woooiiiiii Erick nawe umekua kama mwanaume wa kinondoni, miaka minne na nusu unapiga tuuu unasuuza rungu tuuu, huyo dem wako hata cheo hapandi utadhani ni mtumishi wa umma kwenye hii serikali tunayoishi....four good years unamuita "girl friend" tu??? Fine hata kumjaza napo imeshindikana kweli??? Bora jini mkamba kamba kapita tu bwana Dada wa watu akaolewe huko sio kumkula kula tu na kumuita my girl friend mtoto mwenyewe mzuri sijui umekwama wapi we mujaluo....

Japo hicho kibuti kizuri, wameachana kwa utamu hapo microwave inahusu full kupasha kiporo, future hubby wa chanty na future girl wa Eric wajiandae kisaikolojia kuliwa vitu vyao.

 
Hapa bongo naombea jini mkata kamba apite kwa hii kapo ya kina Spartan, Miner Spartan na boyfriend wake duller Spartan (Instagram celebrities make sijui hapa bongo wana ishu gani). Huyu jamaa nae ataku wa kinondoni yani tangu nmeingia mjini na gari ka kampeni naona wanaitana tu girlfriend and boyfriend huu uchumba kiboko Amina kaolewe tu umri unaenda
warumi kama unamjua huyu jamaa mwambie anazibia watu rizki tu, yani hadi dem kishachoka mwenyewe anauliza mbona haolewi
 
mimi mwaka wa 10 huu nina date na binti wa watu afu we unamshangaa huyo wa miaka 4
 
mimi mwaka wa 10 huu nina date na binti wa watu afu we unamshangaa huyo wa miaka 4
Daaaaahhhh 10 years girl friend? Hivi mfano ukimuoa mwakani then after a year mnafanya anniversary ya mwaka mmoja au miaka kumi na moja?
 
Your browser is not able to display this video.


















Kuachana na mtu unaempenda kusikieni tu, Erick Omondi anahitaji saikolojia
 
ila hii couple's ya Eric bora wameachana...maana wote wana sura ngumu,hapo wangetotoa copyright sura kama ya Snoopy dog dog.!!
 
ila hii couple's ya Eric bora wameachana...maana wote wana sura ngumu,hapo wangetotoa copyright sura kama ya Snoopy dog dog.!!
Huyo bidada mbona mzuri tu
 
Watoto wa kishua hao wazee wa silver platter. Huyo minerspartan nlimuona one day pale mbezi bondeni ile baa sijui inaitwaje nimesahau jina kidogo yuko na jamaa mmoja anajiitaga saydavto, pungazeze mmoja hivi ukimcheck mwana yuko smart kishenzi ila anapumuliwa kisogoni hadi toyota crown anayopush alihongwa na mwamba mmoja wa vodacom. Walikua wanaleta mbwembwe hatari machupa kibao juu ya meza ma selfie kama yote,mhuni nimetake cover kwenye kona nawasorola tu
 
Saydavto yule mlamba lips wa kingoni

Daaah dar hapo shida tupu vijana hawana kazi wala michongo yoyote ya maana ila wanaishi big time kumbe viburudisho vya watu hahahah

Dar nuksi sana
 
Saydavto yule mlamba lips wa kingoni

Daaah dar hapo shida tupu vijana hawana kazi wala michongo yoyote ya maana ila wanaishi big time kumbe viburudisho vya watu hahahah

Dar nuksi sana
Acha tu chief, unajiuliza vijana wadogo kabisa wengine umewazidi umri lakini anasa wanazofanya sio za nchi hii
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…