Uchumba

bbukhu

Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
58
Reaction score
1
Natafuta mchumba wa kike mwenye sifa zifuatazo:
1.Awe na heshima
2. Awe mvumilivu
3. Mchapa kazi
4. Mwenye huruma
5. Awe mweupe wa wastani
6. Awe na mwili wenye ukubwa wa wastani
7. Awe na urefu wa wastani
8. Kabila lolote
9. Awe mkristo


Wasiliana nami kwa baruapepe: bbukhu@gmail.com
 
Awe awe awe, wewe unazo zote hizo mbona huweki sifa zako. Unaorder kama uko kiwandani vile
 
kipi asichonacho/mapungufu,upo tayari kuyaridhia

kumbuka:we are human,tena in Africa
 
vigezo havipimiki hivyo... ; jaribu kuvifanya viwe SMART angalau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…