Uchumi gani huo unakua wakati Dola inazidi kupanda?

Uchumi gani huo unakua wakati Dola inazidi kupanda?

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
Uchumi gani huo unaokua na dollar ya Marekani inazidi kupanda tu now 2400 na kitu, Euro 2600 na kitu na pound isharudi kw 3200 uko Jamani hii nchi.

Fastest growing economy in the world Kumbe konokono tu against a cheetah😩😩😩
 
Back
Top Bottom