Ricky Blair JF-Expert Member Joined Mar 13, 2023 Posts 463 Reaction score 1,009 Jul 12, 2023 #1 Uchumi gani huo unaokua na dollar ya Marekani inazidi kupanda tu now 2400 na kitu, Euro 2600 na kitu na pound isharudi kw 3200 uko Jamani hii nchi. Fastest growing economy in the world Kumbe konokono tu against a cheetah😩😩😩
Uchumi gani huo unaokua na dollar ya Marekani inazidi kupanda tu now 2400 na kitu, Euro 2600 na kitu na pound isharudi kw 3200 uko Jamani hii nchi. Fastest growing economy in the world Kumbe konokono tu against a cheetah😩😩😩