Uchumi: Hakikisha kila ukiingiza 20,000 tumia 400 tu

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,509
Reaction score
3,429
Siri ya mafanikio ni kuhakikisha unabana matumizi kwa nguvu zote, usitumie utumie pesa bila utaratibu, kabla hujanunua kitu jiulize hili swali, hivi nisiponunua nitakufa? Kama jibu hapana, achana na hiyo kitu. Wanauchumi watanielewa. Kila 20000 tumia sh 400 tu
 
mimi huwa naingiza laki 3 kwa mwezi lakini natumia laki 7 kwa mwezi. je, mimi ni nani ?
 
Kwamba hulipi hata pango unakuwa unaishi kwenye kichuguu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…