Uchumi kwanza, Katiba isubiri. Acheni chokochoko!

Njaa mbaya jamani, yaani unajitoa UFAHAMU kiasi hicho? Kwamba katiba inazuia maendeleo? Na kwamba katiba ni ya Wapinzani ? Hivi, Ile tume ya WARIOBA ilikuwa ya CHADEMA? Halafu si ajabu una cheti cha shule na wewe unaitwa msomi.
 
Kajamaa kameweka na namba ya simu ili mama akapigie kukaulizia uteyuzi! Kazi kweli kweli! Wasakatonge!
 
Mzee Ungeandika KITABU ungeeleweka vizuri HATA TEUZI WANGEKUFIKILIA Ila CCM Tayari imekunyonya UBONGO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…