M Maque Member Joined Oct 13, 2014 Posts 98 Reaction score 25 Mar 26, 2020 #1 Kiuhalisia janga hili zaidi limeathiri wajasiriamali wadogo wadogo, watumishi tuambueni mmeathirika kwa kiwango gani kama ni mwadilifu kazini, usije tuambia kuna ziada wakati unasubiria tar 30, naomba uzoefu bila povu
Kiuhalisia janga hili zaidi limeathiri wajasiriamali wadogo wadogo, watumishi tuambueni mmeathirika kwa kiwango gani kama ni mwadilifu kazini, usije tuambia kuna ziada wakati unasubiria tar 30, naomba uzoefu bila povu