Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi mzuri
Watu wengi, hawajui maswala ya fedha. Wao wanachojua ubishi wa Russia, Ukraine, Palestine na Israel na Iran tuuu, hawana uelewa na mambo ya msingiUchumi ni nini na nini kafanyike ili uchumi ukue nazungumzia uchumi mkubwa kama UCHUMI WA NCHI.. Na uchumi na uchumi ukishuka ni nini kimeshuka.