Worlddaz New Member Joined Apr 8, 2024 Posts 3 Reaction score 1 Apr 10, 2024 #1 Uchumi ni nini na nini kafanyike ili uchumi ukue nazungumzia uchumi mkubwa kama UCHUMI WA NCHI.. Na uchumi na uchumi ukishuka ni nini kimeshuka.
Uchumi ni nini na nini kafanyike ili uchumi ukue nazungumzia uchumi mkubwa kama UCHUMI WA NCHI.. Na uchumi na uchumi ukishuka ni nini kimeshuka.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Apr 11, 2024 #2 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Apr 11, 2024 #3 Smart911 said: Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw Click to expand... Uzi mzuri
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Apr 11, 2024 #4 Smart911 said: Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw Click to expand... Uzi mzuri
Come27 JF-Expert Member Joined Dec 1, 2012 Posts 7,723 Reaction score 7,408 Apr 13, 2024 #5 Worlddaz said: Uchumi ni nini na nini kafanyike ili uchumi ukue nazungumzia uchumi mkubwa kama UCHUMI WA NCHI.. Na uchumi na uchumi ukishuka ni nini kimeshuka. Click to expand... Watu wengi, hawajui maswala ya fedha. Wao wanachojua ubishi wa Russia, Ukraine, Palestine na Israel na Iran tuuu, hawana uelewa na mambo ya msingi
Worlddaz said: Uchumi ni nini na nini kafanyike ili uchumi ukue nazungumzia uchumi mkubwa kama UCHUMI WA NCHI.. Na uchumi na uchumi ukishuka ni nini kimeshuka. Click to expand... Watu wengi, hawajui maswala ya fedha. Wao wanachojua ubishi wa Russia, Ukraine, Palestine na Israel na Iran tuuu, hawana uelewa na mambo ya msingi