Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
I wish he could understand this language.Mimi hilo naliangalia in Mathematic perspective if my wife has a girlfriend means I have two wives
Hata kitumbo wenyewe haujashuka kiasi hicho.Labda kitumbo.
mchele umeshuka hadi sh 800 kwa kilo, sababu siyo kuimarika kwa uchumi bali ni kwa kuwa mpunga umeiva na wakulima ndo wanavuna Sana, acha siasa jamani hapa ulitaka kumsifia Rais, mbona vitu vingine vipo juu Kama uchumi umepanda?Imeelezwa na maafisa masoko wa jiji la Dsm kuwa bei ya mchele imeshuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo na itaendelea kushuka hadi kufikia sh.1000 kwa kilo. Hali kadhalika bidhaa nyingine muhimu za chakula bei zimeendelea kushuka ikiwa ni ishara ya kuimarika kwa uchumi. Source Eatv habari!
Kakubali kuwa mke wa pili nakasema mke wangu ana huruma sanaI wish he could understand this language.
Lakini kizazi cha Mulugo hawezi kuelewa umeandika nini.
Hata mimi ninawashangaa hao waliotoa tamko hilo labda kama wanatoka kusumaland kwa sababu hata hapa ifakara bei ni 24001300? Hata Kyela hakuna bei hii.
Makubwa!!!! umenigeuza mimi YEHODAYA kuwa kipimio cha IQ ya watu wengine.We vipi?Mwanzoni nilikuwa namwona kama mtu mweledi lakini nilipomchunguza nikagundua hana tofauti na YEHODAYA.
Huko kwenu ni wapi mkuu na mimi nihamie huko?!Huku kwetu kilo ya mchele sh 600 sukari 400 unga wa ngano 500 sembe 200
nahifadhi hizi comment zenu bidhaa zitakapo pand bei msiseme uchumi umeshuka hahahahNjoo vijiji vya kata ya Mwamala wilaya ya Nzega mkoani Tabora gunia ni 36,000 mwisho 45,000 na bado wanavuna hapo.
Duru zinadai kilo itafika hata 800 huko lakini hii wala siyo ishara ya uchumi kuimarika,Kuna watu wataumia.
Kweli wewe ndiyo kilaza yaani unakubali kuuza utu wako kwa buku 7?Imeelezwa na maafisa masoko wa jiji la Dsm kuwa bei ya mchele imeshuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo na itaendelea kushuka hadi kufikia sh.1000 kwa kilo. Hali kadhalika bidhaa nyingine muhimu za chakula bei zimeendelea kushuka ikiwa ni ishara ya kuimarika kwa uchumi. Source Eatv habari!
Hilo ni jinga kabisa1300? Hata Kyela hakuna bei hii.
Ebu tuondolee upimbi wakoUna uhakika au umeamua tu kubisha!
Haijawahi na haitakuwa mchele kuuzwa sh 1300Kuimarika kwa uchumu au bidhaa imeanza kupatikana kwa wingi!
Ni kilaza tu wa lumumba hajui atapataje buku 7Acha kupotosha watu humu wewe uliyezoea kulishwa taarifa! Yaani uutoe mchele shinyanga kijijini au kule pawaga au mlimba uje uuze sh. 1300/=? Unaijua bei ya kukodi gari? Ya diesel nayo unaijua? Gharama za mkulima nazo ni sifuri? Jiongeze dogo na piga simu kwenye vyanzo vya mpunga huko kyela na madibira ujuzwe sio unajiropokea humu! Yaani ni hujui lolote!
Wacha kudanganya watuHata Mwanza mchele unachezea 1300-1500 mafuta ndo bado yako juu