Uchumi unaimarika bei ya mchele yashuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo!

Pumbafff sana wewee..
Hujui lolote kwenye haya masuala ya bei za vyakula..
Wewe subiri jpm akiwa sehemu anazindua stendi sijui vyoo ujulishe watu kwamba yupo live kwenye ile television yenu marehemu.
Hakika
 
Wewe mbwiga unabishana na maafisa masoko waliopo site?...kalagabaho!
Mbwiga na babako mzazi ambaye kala hasara kuzaa zwazwa akifikiri mtoto! Eti wapo site! Mimi nipo site pia na ninayaondoa maji kwenye majaluba ili kuuruhusu mpunga kukauka! Hizo taarifa za kulishwa mlishane na wajinga wenzako wanaojipendekeza na kusifu hata yasiyosifika!
Yaonekana wewe unaishi kwa mme wa dada ndio maana huijui bei ya mchele sokoni! Siku ukijua kujitegemea utajua na bei za vyakula sokoni! Shemeji hajambo?
 
s

shinyanga mchele wa 2400 unauzwa 1700 kwa wiki tatu zilizopita kwa sasa bei itakuwa imeshuka zaidi
Kama shinyanga nakataa kwani kijana wangu yupo kahama ananunua mchele kwa bei ya jumla ambayo ni sh 2000/= kwa kilo. Akiufikisha dar atauza sh 2600/= ili aambulie faida ya sh. 300/=kwa kilo! Haya huo unaousema wewe kwa mvua hizi unapatikana sehemu gani?
 
Duuh ila tangu dollar igonge Tsh 2100 kwa TZs sijawah kuona mchele daraja la kwanza ukauzwa 1300 hata 1500 haipo
 
Ni uchumi kukua au ni msimu wa mavuno hivyo supply ni kubwa kuliko demand? Hebu wachumi tudadavulieni hili
 
Ukisema mchele unauzwa 1300 unamaanisha mchele upi maana hata mtaani kwetu upo wa 1200
 
Duuh ila tangu dollar igonge Tsh 2100 kwa TZs sijawah kuona mchele daraja la kwanza ukauzwa 1300 hata 1500 haipo
kwa mavuno ya mwaka huu itafika mimi niko mkoani naona bei inavyoshuka kwa sasa 1700 ila buku hawezi fika
mahindi ndo hakuna tutegemee kupanda kwa bei ya unga
 
Nimewanukuu maafisa masoko kwa mujibu wa Eatv!
Kazi yaki kunukuu tu na hujishughulishi kutafuta ukweli kwenye chanzo kingine? Na huo muda wa mtoto wa kiume kukaa kuangalia tv muda wote unaupata wapi? Aah sorry nilisahau kuwa unaishi kwa dada! Tujuze na mengine yatakayorushwa na hako ka channel!
 
kwa mavuno ya mwaka huu itafika mimi niko mkoani naona bei inavyoshuka kwa sasa 1700 ila buku hawezi fika
mahindi ndo hakuna tutegemee kupanda kwa bei ya unga
Unamaanisha hamna cost zaidi ya kutoa hapo shambani hadi kwa wholesaler, au hizo bei ni mikoani hukohuko
 
wachumi uchwara, kushuka kwa bei uchumi ndio unakuwa, hawajui saa ivi mazao ndio yanavunwa soko linabidi libadilike kufuata supply na demand. kwanini mnang'ang'ania uchumi unapanda bila kuwa na data za GDP
 
Eeeh mavuno yakiwa mengi suplly inakuwa kubwa bei inashuka, ila baada ya demand kuwa kubwa supply ndogo tutasema watu wameficha kwenye magodown, km sakata la mafuta ya kula lililotokea hapo kabla, au ule uchumi haukukua umekuja kukua kwenye mchele
 
wanapenda kujidanganya sijui wana malengo gani.
 
Kila kinachotokea ni kukua kwa uchumi, mbona dolar iko palepale 2200 shilingi haikui hata siku moja siku ikija kuwa dolar ni sh 1800 ya kibongo ndo ntaamini nimekua kiuchumi
 
Huku Tabora wilaya ya Kaliua Debe Tsh.5000 la mpunga.
 
Siku zote mikoani ndo bei chee, sasa ukiona bei ndogo kwa mkulima halafu mikoa mingine isiyolima bei ikawa ileile iliyozoeleka naona hamna fairness hapo na huo sio uchumi kukua ni gharama nafuu tu haireflect uchumi wa nchi, tuangalie tunaexport kiasi gani tunaimport kiasi gani, bidhaa zetu zinaheshimikaje soko la nje ndo uchumi huo, sio kunnua debe la mpunga sh 900 kwa mkulima tuseme uchumi mkubwa, kula sio kipimo cha uchumi, je GDP na GNP zinaonesha ukuaji huo
 
Si ni musimu wa mchele subiri kuanzia october huko tunakuomba urudi tena kusema mchele ni kiasi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…