nahifadhi hizi comment zenu bidhaa zitakapo pand bei msiseme uchumi umeshuka hahahah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko kuna uchumi baaabkubwaHuku kwetu kilo ya mchele sh 600 sukari 400 unga wa ngano 500 sembe 200
leteni moro uku bei badp juu sanaMpunga
Mpunga imebidi niweke ghalani gunia elfu40 wata tumaliza ghalama za palizi dah, sielewi isee
Moro bei gani gunia?leteni moro uku bei badp juu sana
gunia sijajua ila kilo sio chini 2300Moro bei gani gunia?
Poa ngoja nijaribu kuangalia maana unaweza kuleta solo nikakuta limepolomokagunia sijajua ila kilo sio chini 2300
naomba radhi mkuu kwa hlo ila sio sehemu zote labda ni huko kikubwa safi sana tumieni fursa hiyo nunueni muweke akiba maanaMkuu naandika sasa hivi MWANZA BEI YA MCHELE NI 950 KWA KILO
FIKA MABATINI UJIONEE,TUNASHKURU KWA MUNGU BEI HII KUSHUKA KUTOKANA NA MFUNGO WA RAMADHANI TUNAO JIANDAA NAO WIKI IJAYO[emoji1321]
Niko Mwanza, Magu kilo 1 ya mchele ni 1100/1300? Hata Kyela hakuna bei hii.