mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
Mnamo miaka ya mwisho ya uongozi wa awamu ya 4, aliyekuwa Rais wa awamu hiyo Jakaya Kikwete alinukuliwa akisema kwa kuwa tunaingia uchumi wa gesi, yeye ndo angekuwa Rais wa mwisho kuongoza Tanzania iliyo masikini. Kipindi hicho ilikuwa kawaida kusikia maneno "tunaingia uchumi wa gesi".
Tamko lake lilitokana na kiasi kikubwa cha gesi kilichokuwa kimegundulika nchini na uwekezaji mkubwa uliokuwa umefanywa wa kuvuna gesi hiyo na kuiuza ili kuipatia nchi mamilioni ya $$.
Swali langu je, ni nini kimetokea kwa kuwa marais wawili waliomfuata JK bado wana-struggle kuongoza Tanzania iliyo maskini. Au JK alikuwa anatuuzia mbuzi kwenye gunia?