SAMWELI OGOLA
New Member
- May 23, 2024
- 2
- 2
Tanzania NI nchi ambayo ina taasisi tofauti tofauti kwaajili ya ukusanyaji wa Kodi, ikiwemo TRA, Polis, na Taasisi tofauti tofauti, Ila cha kushangaza ni namna ya usimamizi wa MAPATO Bado aujawekwa katika mfumo mzuri, Kodi ambayo Serikali inakusanya Nindogo kuliko ambayo Aikusanyi.
Tanzania NI nchi ambayo watu hawawezi kulipa Kodi na ata kama Mtanzania akilipa Kodi anaona hajatendewa haki, kwasababu anafanya Kazi katika mazingira Magum na mabovu sana na Serikali inamuhita Mtanzania alipe Kodi katika hahi Hio ngumu Gari Moja la Tan 32 linapakia gunia za kilo 100 = 320
Na ushuru wa Gunia 1 = 2,000*320= 640,000/= haiwezi kupita siku Bila ya Gari 5 adi 10 kupakia kwa siku hio unaeza kujumlisha na Gari zinazopakia mchele CHIMALA na KAPUNGA Au KAPUNGA tu, ila asilimia kubwa mfumo kwanza wa ukusanyaji wa pesa NI wa wizi kabisa, kama 50,000/= ya kulipia leseni ya Biashara inatolewa Contro Namba je TSH 640,000/= inashindikanaje na Bara Bara Ni Mabovu mnoo mazingira ni mabaya Sanaa yani Serikali inaasa vijana wajiajiri ila mazingira ya kujiajiri tena NI Magum mnoo.
Mfano wa Mashine zilizopo na Barbara inavyo onekana Tuna changamoto sana Mvua ikinyesha Matope Yani apaingiliki jua likiwaka Mawe yanasimama yanachana Matair ya Magari kweli nI changamoto.
Mambo mengi sana inabidi Serikali irekebishe hasa kutoza ushuru kulingana na uduma ilio tolewa pia iweke watu waaminifu kukusana au iweke kesho kukushanya Kodi na pesa zotee zilipwe kwenye mfumo.
Serikali ifanye angalau Mambo Hayo machache.
1. Kuweka mfumo WA ukusanyaji
2. Kuweka watu waaminifu kwenye Kazi hio.
3. Kujua changamoto zinazowakabili wafanyabiashara
Kuboreshamazingira mazuri ya Kazi
4. Kurekebisha miundombinu ya usafiri
5. Kusogeza uduma za MSINGI kwa wafanya Biashara.
Mfano kiwanda cha Mifuko kiko DAR na Arusha alafu Mifuko inatumika Mbeya jamani.

Upvote
2