Mie nilieunguziwa charger na bulb mbili nisemeje sasa? Wamenitia hasara hawajui tu.
Nataka kulipwa
Charger 15000, bulb mbili 7000. Barikiwa in advance.Pole Darling. Sh. ngapi nikununulie
Tatizo la post ni kwamba imejaa sana kujisifia. Fridge kubwa kabisa ya milango miwili. Unajuaje hio ni kubwa kabisa? Ni model gani ya fridge. Au taa za automatic kila kona. Ni taa gani hizo za gharama sana? Uchumi wa kati ni propaganda zao tu. Bado sana maisha ya mTz.Naomba tusidanganyane, ni uchumi upi wa kati ambao umeme unakatika katika ovyo. Hakuna umeme wa uhakika.
Mkiniunguzia FLAT SCREEN YANGU inchi 52 SUPER LED SAMSUNG mtaweza kuilipa? Mkiniunguzia FRIJI YANGU ya milango miwili ile kubwa kabisa, mtaweza kulipa? Nawauliza.
Multi systems zangu zilizopo kila kona ya nyumba na taa automatic kila mahali hadi nje, mkiunguza mtakuja kulipa zikiungua? MNA pesa ya kunilipa?
Kwanini mnakata umeme ovyo? Kama ni mgao semeni bwana
Huyu jamaa ana dharau sana!Tatizo la post ni kwamba imejaa sana kujisifia. Fridge kubwa kabisa ya milango miwili. Unajuaje hio ni kubwa kabisa? Ni model gani ya fridge. Au taa za automatic kila kona. Ni taa gani hizo za gharama sana? Uchumi wa kati ni propaganda zao tu. Bado sana maisha ya mTz.
TANESCONaomba tusidanganyane, ni uchumi upi wa kati ambao umeme unakatika katika ovyo. Hakuna umeme wa uhakika.
Mkiniunguzia FLAT SCREEN YANGU inchi 52 SUPER LED SAMSUNG mtaweza kuilipa? Mkiniunguzia FRIJI YANGU ya milango miwili ile kubwa kabisa, mtaweza kulipa? Nawauliza.
Multi systems zangu zilizopo kila kona ya nyumba na taa automatic kila mahali hadi nje, mkiunguza mtakuja kulipa zikiungua? MNA pesa ya kunilipa?
Kwanini mnakata umeme ovyo? Kama ni mgao semeni bwana
Hekaya za Abu Nuwas
Alaf akishaambiwa umeme ni wa mgao atafanya nn na vtu vyake vya automatic😁😁😁 Pumbaav kabisaTatizo la post ni kwamba imejaa sana kujisifia. Fridge kubwa kabisa ya milango miwili. Unajuaje hio ni kubwa kabisa? Ni model gani ya fridge. Au taa za automatic kila kona. Ni taa gani hizo za gharama sana? Uchumi wa kati ni propaganda zao tu. Bado sana maisha ya mTz.