Uchumi wa kati tulifikaje? Bora kuwa na nidhamu ya uoga kuliko kutokuwa na nidhamu kabisa

Magufuli alikuwa mwamba na shujaa kwelikweli. Kazi aliyoifanya tangu enzi akiwa naibu waziri ni kubwa mno. Hakika kizuri hakidumu. Ila tumejifunza na somo limebaki mioyoni mwetu.
 
Mama Corona imemuathiri nadhani. Kalewa bwiiii madaraka ya Uraisi. Hafahamu afanyalo msameheni. Cha mwisho kabisa tusubirini 2025 atajifunza somo na hao wanaomdanganya. Wamesahau mwokozi wa CCM ni yule yule JPM
 
Una uhakika gani kuwa tulifikia huo uchumi wa kati, mbona indicators za economic growth zinakataa!
 
Vipi mzee hayo yote hayafanyiki au unajilisha upepo tuu?
 
Hao waliompinga na wanaoendelea kumchukia sasa hivi ni kwa kuwa walikuwa wapigaji, na wapigaji hawakuwa na nafasi wakati wa uongozi wa JPM. Ila hata wao wanajua kabisa jinsi mwamba alivyokuwa anachapa kazi.
Kazi ipi hiyo Mzee aliyochapa? Mnapambanisha mwaka 1 wa Mama na miaka 6 ya Mwendazake..

Kazi ya kawaida saana?
 
Waambie Lema na Lisu maisha ya kuuza mwili kwa wazungu siyo kabisa, warudi home.

Naona unajifanya una akili kuliko team ya world bank
Hata kuelewa ni shida!!!...unadhani kila mtanzania ana chama!!!
 
Kwa hiyo, baada ya Magufuli kufariki, unashauri tusiwe na Rais, tuendelee kumkumbuka hayati?
 


Uchumi wa kati sio pesa tu au ukuwaji wa uchumi ni pamoja na idadi ya watu. Tulikuwa tumeingia kidogo sana na ukuaji wa uchumi ukapungua na watoto wakazaliwa zaidi au idadi ya watu ikaongezeka zaidi. Kama watu wanaongeza kwa kasi uchumi nao unatakiwa kukuwa kwa kasi.

Tujue uchumi umepungua kukuwa lakini umekuwa na ni mkubwa kuliko 2019 lakini ongezeko la watu ni mkubwa pia.

Nchi zote wanapitia kama yetu sio ukali au upole bali ni covid 19 huu ndiyo ukweli tusipoteshe.
 
Tanzania haijawahi kufikia uchumi wa Kati. Zilikuwa na fix za mwendazake Mana nchi ilikuwa unaongozwa kikwata kwata kwa maelezo yake mwenyewe na akaongeza kwamba yeye Ni kichaa angependa watanzania wote tuwe vichaa Kama yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…