joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Tanzania imefanikiwa kukua kiuchumi wakati wa kipindi cha #CoronaVirus
=======
MY TAKE: Kuna msemo usemao kwamba, "mkono unaokulisha usiunyee".
Kenya uchumi wake umeathirika zaidi kuliko Rwanda na Uganda ambazo ziliweka sheria kali zaidi ya kuzuia corona kwasababu ya Kenya kukorofishana na Tanzania kibiashara zaidi kuliko nchi hizo.