Kulingana na tupo kwenye era ya teknolojia napenda kuanzisha mjadala.
Mjadala:
Endapo kijana/vijana wana aina zifuatzo za mtaji
1)Mtaji pesa
2)Digital devices(Computer, Smartphone nk)
3)Basic Computer skill mf Ms Office
Kijana/Vijana hawa wanaweza kuanzisha mradi gani kama Side Hustle ambao watatumia pesa ndogo sana ila wakapata faida kubwa kwa muda mfupi, mradi huo ulenge kutoa huduma/ujuzi fulani kwa jamii au kundi fulani la watu katika jamii.
Ningependa tujadiri kwa kina