Uchumi wa kwenye makaratasi inafanya makubwa

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Watanzania huwa wanaita uchumi wa Kenya kuwa ni wa kwenye makaratasi. Hivi leo Kenya imeanza rasmi mazungumzo na Marekani kuhusu free trade deal ambayo itapunguza vikwazo vya kibiashara baina ya nchi hizi mbili.

Maoni yangu kuhusu habari hii ni kuwa Kenya ijichunge maana Kenya ina uchumi mdogo na ni vyema tuweze kunegotiate a fair deal. Kwa mfano Mexico kupitia Nafta iliweza kunyakua fursa ya kutengeneza magari za Kimarekani huko Mexico kwa sababu ya cheap labour.

Kwa hivyo tukifanikiwa kunegotiate trade deal nzuri basi tunaweza kuvutia makampuni ya Kimarekani kama akina GE na Ford huku Kenya. Lakini tashwishi na uoga wangu ni kuwa kuna uwezekano wa Kenya kupata dili mbaya (raw deal). Yaani kuna uwezekano wa Kenya kuwa dampo ya bidhaa kutoka Marekani kama vile tumekuwa dampo ya bidhaa kutoka China. Trade lazima iwe give and take, isiwe one sided kwa maana inaeza kuua industries zetu zote.

=======

US launches talks with Kenya on free trade pact

Washington (AFP) - The US government formally launched talks with Kenya on Wednesday aimed at setting up a free trade agreement that could form the basis for deals with other African nations.

"Kenya is a recognized leader across the continent, an important strategic partner of the United States, and there is enormous potential for us to deepen our economic and commercial ties,” said Ambassador Lighthizer.

He said "a comprehensive, high-standard agreement" with Kenya could go on to "serve as a model for additional agreements across Africa."

President Donald Trump has alternatively denigrated African nations and taken a hard line in trade dealings with some countries, while also pursuing his preference for bilateral talks over regional or multilateral agreements, launching an exploratory working group with Kenya's President Uhuru Kenyatta in 2018. The leaders earlier this year agreed to work towards a free trade deal.

Betty Maina, Kenya's secretary for Industrialization, Trade, and Enterprise Development, said the two countries "have strong trade relations demonstrated by growing exports and imports which have increased over the years."

"Increasing and sustaining export performance to the United States requires a trade arrangement that is predictable and guarantees preferential market access for Kenyan products. Kenya is also keen to attract Foreign Direct Investment from the United States," she said.

The initial round of talks will take place virtually over the next two weeks due to the COVID-19 pandemic.

Source: AFP
 
Being made a Guinea pig right? Mkenya be careful with Trump! Be reminded the Chinese made u a pilot project with their SGR in Africa n now u r wallowing with tears!
 
Tony254,

Hilo hasa ndio lengo la Wamagharibi kutufanya Sisi jalala. Hivi inawezekana vipi mtu mwenye baiskel wakae kwenye mashindano pamoja na mwenye pikipiki eti sababu tu baiskeli yake nae mpya na ya kisasa?

Hivi Afrika Mashariki tungeanzisha mkataba unaotaka wao wakileta bidhaa walipe Kodi Sisi tukipeleka tusilipe Kwa kua wao wataleta vingi zaidi kuliko sisi kupeleka wangekubali au ndio kulazimisha bondia mwenye weight 80 apigane na weight 50 sababu tu wote wanaitwa mabondia?
 
Viongozi wa Afrika ni bichwa maji wachumia tumbo zao.
 
Viongozi wa Afrika Ni bichwa maji wachumia tumbo zao.
Na ndio maana viongozi wa Tanzania walisema tugome kusaini huu mkataba maana kukubali sio lazima sio kila mkataba unaoletwa lazima kuusaini lakini viongozi wa kenya siku zote hawana msimamo Kwa kuwaogopa wazungu.
 
Hawa watu walikataa kusign Agoa? Kama ni kweli basi hawa watu ni wajinga.
Mzee tunafanya kitu kwa maslahi kwanza hamuezi tuelewa,mpaka mpakatwe.

Hata China tulipowakazia kwenye bandari mkabeza,ila mnapoyaona ya SGR yenu ndipo mnaelewa,twendeni tu 50 yrs to come mtajua tuliiona mapema.
 
mzee tunafanya kitu kwa maslahi kwanza hamuezi tuelewa,mpaka mpakatwe.

hata china tulipowakazia kwenye bandari mkabeza,ila mnapoyaona ya SGR yenu ndipo mnaelewa,twendeni tu 50 yrs to come mtajua tuliiona mapema.

Kwa ishu ya SGR ya kenya 50yrs ni mingi sana. Yani kenya washukuru tu hakuna alternative na reliable route ya kufika Congo na Zambia bila kupitia TZ. Hiyo ndio pona yao. La sivyo Mombasa port ingekuwa ishaanza kuchukuliwa saivi. Mchina anaumia na TZ sana maana imemzuia pa kubwa kujitanua hapa Afrika mashariiki na kati. Deal ya Bagamoyo port bado inampa kizunguzungu..haamini kama ndio ishapotea hivyo.
 
tushapiga pini wanaume,hatuwezi ruhusu ujinga tokea enzi za nyerere.
 
Hawa watu walikataa kusign Agoa? Kama ni kweli basi hawa watu ni wajinga.
Rwanda tu na Kenya ndo walisign, AGOA yenyewe inaexpire 2025 na sasa bidhaa za Tz zitakua subjected to duty henceforth ikiexpire bila kua extended since hawako LDC anymore..it's a good thing Kenya kutafuta a permanent trade deal with US kivyake tusikubali kuwa held back na nchi zingine
 
tushapiga pini wanaume,hatuwezi ruhusu ujinga tokea enzi za nyerere.

Na sasa tunavyoingia uchumi wa viwanda hawa wakenya wakisha geuzwa dampo la bidhaa za US inabidi pia kuingilia sheria za kibiashara ndani ya EAC. Tusikubali kenya itumike kupitisha bidhaa za US ili kuhujumu viwanda vyetu. Ikitokea tu hivyo ni kukata umeme EAC na kukomaa block ya SADC. ILi wajue TZ ndio sehemu ya kimkakati zaidi ukanda huu. Option zipo kibao za kukuza uchumi wetu.
 
mzee tunafanya kitu kwa maslahi kwanza hamuezi tuelewa,mpaka mpakatwe.

hata china tulipowakazia kwenye bandari mkabeza,ila mnapoyaona ya SGR yenu ndipo mnaelewa,twendeni tu 50 yrs to come mtajua tuliiona mapema.
Agoa haina madhara yoyote ile ya kiuchumi kwa nchi masikini. In fact Agoa inasaidia nchi masikini kuuza bidhaa zake kule Marekani bila kutozwa ushuru wowote. Na pia Marekani akileta bidhaa zake kwa nchi za Afrika, anatozwa ushuru kama kawaida. Yaani Agoa haimfaidi Marekani kwa njia yoyote ile bali inafaidi nchi za Kiafrika sana. Nadhani nyie wachumi wenu hawaelewi haya mambo au pengine ni viongozi wenu ndio wanashuku kila kitu. Agoa imesaidia Kenya kukuza Textile industry yake kwa kiasi kikubwa. Kenya inaexport textile (nguo) za thamani ya $ 0.4 billion kila mwaka kuelekea Marekani. Yaani tunauza nguo marekani ya thamani ya 800 billion Tanzania shillings. Kama sio Agoa hatungekuwa na viwanda vya kutengeneza nguo vya kisasa.
 
kama imewafaidisha nyinyi inatosha.
 
tuliishapiga pini soko huria kitambo,si unajua tunaona miles 1000 mbele.[emoji3][emoji3]
 
These people are stupid. Agoa has no negative effects on African economies. African economies are allowed to export their goods duty free to America, yet most American goods are still taxed when they export them to Afrika. Our Textile industry, which currently exports more than ksh 40 billion of textiles to US every year would not exist were it not for Agoa. EPZ employs thousands of Kenyans in those factories. Textile industry is one of the fastest ways to industrialize and also it is one of the biggest employers. Hizi trade deal bora ziko fair then huwa ziko poa. Our cheap labour inaweza kuvutia some American companies looking to cut production costs.
 
Hawa wajinga hawawezi kukuelewa juu wana mentality moja ya kijinga ukiwaambia ukweli wanasema ni wivu.
 
Kwahiyo Kenya kupeleka free ila USA analipa sio free trade? Cjui kama ipo kweli hivyo unavyomaanisha wewe na kama itakua hivyo Us abafaidika nini si bora ile ya kua na kode pande zote anafaidika !! Sasa kweli Us akubali kuleta mkataba unaomnyonya yeye kweli !, labda kama ndio itakua hivyo bc kuna fumbo mbele ambalo huwezi kuliona mpaka Kwa jicho la tatu
 
Viongozi wa Afrika ni bichwa maji wachumia tumbo zao.
Leo nyani umepata [emoji818][emoji818][emoji818]
Kumbe nyani ako na akili ipewe kiti [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…