Uchumi wa kwenye makaratasi: Wafanyakazi wa kenya wanalipwa mishahara midogo kuliko waliyolipwa miaka 10 iliyopita.

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506
  • Pamoja na majigambo ya kwenye media kuwa uchumi wa Kenya unakuwa, ripoti ya Shirika la kazi Duniani (ILO) inaonyesha kuwa watumishi wa Kenya wanalipwa kiwango kidogo cha mishahara kulinganisha na walivyolipwa miaka 10 iliyopita.
  • Ripoti hiyo imesema hali ya maisha ya Watumishi wa Kenya ni mbaya na haiendani kabisa na ripoti za kukua kwa uchumi wa nchi kama zinavyotangazwa kwenye media.
  • Ripoti hiyo imesema pia kuwa hali imekuwa mbaya zaidi kwa mwaka uliopiata ambapo mishahara imepungua kwa 2.9%
  • Once a failed state, always a failed state.

NEW YORK,
With wages adjusted for inflation, Kenyan workers are earning less than they did 10 years ago, the United Nations’ International Labour Organization (ILO) says in a report released on Monday.
The rate of change in real wages (a term used in the report to refer to inflation-adjusted monthly earnings) dropped by 1.6 percent in Kenya from 2008 to 2017, the ILO global study shows.

NO BENEFIT
The fall in real wages was even steeper last year for Kenya, declining by 2.9 percent, the report notes.
It can thus be inferred from the ILO report that Kenyan wage workers have not benefitted financially from the country’s economic expansion in recent years.

Related Content
Kenya's gross domestic product grew by between five and six percent annually from 2013 through 2017, according to the World Bank.
The country lags regionally in real-wage average growth rates, the ILO study shows.
Among the 24 sub-Saharan countries included in the report, real wages increased 2.7 percent during the past five years.

Real-wage rates rose most sharply in that period in Senegal (32.3 percent).

NOMINAL WAGES
Citing the Kenyan National Bureau of Statistics as its source, the ILO reports that nominal wages (those not adjusted for inflation) have grown substantially in Kenya, rising from an average of Sh42,886 per month in 2013 to Sh57,008 last year.

The ILO report cautions that “wage employees in Africa represent only a limited proportion of these countries’ working populations.”
The study does not present estimates for changes in earnings among workers in countries’ informal sectors.
Although the new ILO report focuses on disparities in earnings between men and women, the study contains no data for the gender pay gap in Kenya specifically or in sub-Saharan Africa as a whole.
Globally, the UN body says, women are paid about 20 percent less than men.

GENDER GAP
The causes for the gender gap are not fully understood, the ILO says.
But the report shows that motherhood brings about a wage penalty that can persist across a woman’s working life.
Fatherhood, by contrast, is generally associated with a wage premium, the study finds
Worldwide, the overall rate of growth in real wages slowed to 1.8 percent last year from 2.4 percent in 2016.
That is the lowest annual increase for the years since the global financial crisis of 2008, the ILO points out.

Source: UN exposes shame of Kenyans' pay
 
Utakuta hii ripoti umesomewa na kuambiwa uilete huku kwa kukurupuka, kiasi kwamba hukuifungua uone ilivyoponda Tanzania kwamba Tanzania ndio inaongoza ukanda wote huu kwa mishahara kushuka na kuwa duni na kusababisha mateso makubwa kwenu.
Fungua usome hii sentensi au utafute mtu akutafsirie, nilishawaambia chochote kikiwa kibaya Kenya, huwa kibovu mara kumi Tanzania
Real-wage rates rose most sharply in that period in Senegal (32.3 percent), while falling most precipitously in Tanzania (-9.5 percent), the report shows.
 
Jamaa kakimbia, bongo ni shida tu
 
[emoji15]
 
aiseee dah, waswahiliwa wanaanza kuiishi kama mashetani...yanatimia etiii!
 
Acha kutuvua nguo wabongo kwenye swala la mishahara hatuwafikii Kenya hata kidogo kuna baadhi ya field wanalipwa kwa wastani hadi mara 3 ya huku.
 
Kijana next time soma kwanza uelewe kabla ya kuropokwa ovyo ovyo., Tanzania ndio ya makaratasi kila upande, over 6% growth zaidi ya miaka kumi lakini halionekani kwa mwananchi wa kawaida, bado umaskini mnaongoza ukanda huu na SADC, serikali ya CCM inaficha madeni iliyo wazi eti "tunajenga kwa pesa zetu" ilhali vyanzo vya kutega uchumi havitoshelezi bajeti ya nchi! Balaa!
  • Pamoja na majigambo ya kwenye media kuwa uchumi wa Kenya unakuwa, ripoti ya Shirika la kazi Duniani (ILO) inaonyesha kuwa watumishi wa Kenya wanalipwa kiwango kidogo cha mishahara kulinganisha na walivyolipwa miaka 10 iliyopita.
  • Ripoti hiyo imesema hali ya maisha ya Watumishi wa Kenya ni mbaya na haiendani kabisa na ripoti za kukua kwa uchumi wa nchi kama zinavyotangazwa kwenye media.
  • Ripoti hiyo imesema pia kuwa hali imekuwa mbaya zaidi kwa mwaka uliopiata ambapo mishahara imepungua kwa 2.9%
  • Once a failed state, always a failed state.

NEW YORK,
With wages adjusted for inflation, Kenyan workers are earning less than they did 10 years ago, the United Nations’ International Labour Organization (ILO) says in a report released on Monday.
The rate of change in real wages (a term used in the report to refer to inflation-adjusted monthly earnings) dropped by 1.6 percent in Kenya from 2008 to 2017, the ILO global study shows.

NO BENEFIT
The fall in real wages was even steeper last year for Kenya, declining by 2.9 percent, the report notes.
It can thus be inferred from the ILO report that Kenyan wage workers have not benefitted financially from the country’s economic expansion in recent years.

Related Content
Kenya's gross domestic product grew by between five and six percent annually from 2013 through 2017, according to the World Bank.
The country lags regionally in real-wage average growth rates, the ILO study shows.
Among the 24 sub-Saharan countries included in the report, real wages increased 2.7 percent during the past five years.

Real-wage rates rose most sharply in that period in Senegal (32.3 percent).

NOMINAL WAGES
Citing the Kenyan National Bureau of Statistics as its source, the ILO reports that nominal wages (those not adjusted for inflation) have grown substantially in Kenya, rising from an average of Sh42,886 per month in 2013 to Sh57,008 last year.

The ILO report cautions that “wage employees in Africa represent only a limited proportion of these countries’ working populations.”
The study does not present estimates for changes in earnings among workers in countries’ informal sectors.
Although the new ILO report focuses on disparities in earnings between men and women, the study contains no data for the gender pay gap in Kenya specifically or in sub-Saharan Africa as a whole.
Globally, the UN body says, women are paid about 20 percent less than men.

GENDER GAP
The causes for the gender gap are not fully understood, the ILO says.
But the report shows that motherhood brings about a wage penalty that can persist across a woman’s working life.
Fatherhood, by contrast, is generally associated with a wage premium, the study finds
Worldwide, the overall rate of growth in real wages slowed to 1.8 percent last year from 2.4 percent in 2016.
That is the lowest annual increase for the years since the global financial crisis of 2008, the ILO points out.

Source: UN exposes shame of Kenyans' pay
 
  • Pamoja na majigambo ya kwenye media kuwa uchumi wa Kenya unakuwa, ripoti ya Shirika la kazi Duniani (ILO) inaonyesha kuwa watumishi wa Kenya wanalipwa kiwango kidogo cha mishahara kulinganisha na walivyolipwa miaka 10 iliyopita.
  • Ripoti hiyo imesema hali ya maisha ya Watumishi wa Kenya ni mbaya na haiendani kabisa na ripoti za kukua kwa uchumi wa nchi kama zinavyotangazwa kwenye media.
  • Ripoti hiyo imesema pia kuwa hali imekuwa mbaya zaidi kwa mwaka uliopiata ambapo mishahara imepungua kwa 2.9%
  • Once a failed state, always a failed state.

NEW YORK,
With wages adjusted for inflation, Kenyan workers are earning less than they did 10 years ago, the United Nations’ International Labour Organization (ILO) says in a report released on Monday.
The rate of change in real wages (a term used in the report to refer to inflation-adjusted monthly earnings) dropped by 1.6 percent in Kenya from 2008 to 2017, the ILO global study shows.

NO BENEFIT
The fall in real wages was even steeper last year for Kenya, declining by 2.9 percent, the report notes.
It can thus be inferred from the ILO report that Kenyan wage workers have not benefitted financially from the country’s economic expansion in recent years.

Related Content
Kenya's gross domestic product grew by between five and six percent annually from 2013 through 2017, according to the World Bank.
The country lags regionally in real-wage average growth rates, the ILO study shows.
Among the 24 sub-Saharan countries included in the report, real wages increased 2.7 percent during the past five years.

Real-wage rates rose most sharply in that period in Senegal (32.3 percent).

NOMINAL WAGES
Citing the Kenyan National Bureau of Statistics as its source, the ILO reports that nominal wages (those not adjusted for inflation) have grown substantially in Kenya, rising from an average of Sh42,886 per month in 2013 to Sh57,008 last year.

The ILO report cautions that “wage employees in Africa represent only a limited proportion of these countries’ working populations.”
The study does not present estimates for changes in earnings among workers in countries’ informal sectors.
Although the new ILO report focuses on disparities in earnings between men and women, the study contains no data for the gender pay gap in Kenya specifically or in sub-Saharan Africa as a whole.
Globally, the UN body says, women are paid about 20 percent less than men.

GENDER GAP
The causes for the gender gap are not fully understood, the ILO says.
But the report shows that motherhood brings about a wage penalty that can persist across a woman’s working life.
Fatherhood, by contrast, is generally associated with a wage premium, the study finds
Worldwide, the overall rate of growth in real wages slowed to 1.8 percent last year from 2.4 percent in 2016.
That is the lowest annual increase for the years since the global financial crisis of 2008, the ILO points out.

Source: UN exposes shame of Kenyans' pay

Uko na kiherehere kubwa sana. Kama ungepitia threads za jana, ungepata kwamba Tanzania ndio imeshikilia mkia Afrika yote kwa hiyo ripoti.

tz gdp.JPG
 
Back
Top Bottom