sibusiso dlomo
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 690
- 384
Habari wandugu
napenda kuanza nianze kuongelea uchumi wa Tanzania kwa sasa.ripoti mbalimbali zilionesha ukuaji mzuri wa uchumi wa nchi yetu na BOT pamoja na Mh polepole kusifia ukuaji wa uchumi katika rate ya 7.2%.nadhani ni jambo la kushangaza sana kutokana na habari tunazozisikia,ziona na pengine hali tulizonazo watanzania wengi kwa sasa kuamini uchumi unakuwa kwa rate hiyo.
GDP kama measurement nzuri ya kuangalia ukuaji wa uchumi wa nchi mara nyingi wataalamu wa uchumi utumia kuangalia hali ya nchi ilivyo kiuchumi. mimi kama mtanzania nadhani ukuwaji huu wa uchumi hauonyeshi hali halisi ya uchumi miongoni mwa watu wengi.uchumi wa Tanzania unakuwa kutokana na high goverment spending esp katika miradi mbalimbali iliyoianza mwaka jana na mwaka huu(reli,ndege, kununua jet, barabara nk) ongezeko kubwa matumizi ya sserikali linasabbabisha kuongezeka kwa GDP ila kiukweli ni kuwa export,consumption,import zimepungua sana..sasa nilazima GDP iwe kubwa
Mshahara ni malipo ya kazi fulani.katika hali ya kawaida malipo uongezeka pale faida au makusanyo yanapo ongezeka. serikali imekuwa ikilipa nyongeza ya mshahara kila mwaka kama kanuni zinavyosema lakini tumeshawahi kujiuliza je wafanyakazi wa serikali wanapaswa nyongeza ya mishahara kila mwaka?ufanisi wa kazi zao hupo vipi serikalini?mashirika ya serikali yanafanya kazi kwa mujibu wa sheria?wanahakikisha wana hudumia wananchi ipasavyo?
Kwa maono yangu wafanyakazi wa serikali wengi walikuwa wazembe,walikuwa wanajua kukusanya posho na marupurupu mengine tu, walikuwa wanawaza vikao tu. serikali ya JPM kutowaongezea wafanyakazi wa serikali ni sawa kabisa maana wengi walilitumia vibaya fedha za umma, uzalishaji wao na ufanisi wao makazini ulikuwa mbovu na bado mbovu katika sekta nyingi
Vyama vya wafanyakazi vimekuwa watumwa wa serikali na kushindwa kusimamia vyema matakwa ya wafanyakazi vinavyowawakilisha. tatizo kubwa la vyama hivi mara nyingi vinakuwa havina dira,havina maono wala good strategies.viongozi wengi wa vyama hivi wanakosa sifa madhubuti ya kudeal na mwajiri wa wafanyakazi ambaye ni serikali.vyama vya wafanyakazi vinapaswa kufundisha zaidi ethics,accountability na mapenzi ya kazi kwa wanachama wake kuliko only kusimamia matatizo ya wafanyakazi. vyama hivi havina nguvu ni watumwa wa serikali kwa sababu havina impact yeyote katika ufanyakazi wa wanachama wake. vyama havina umoja wala ushirikiano mzuri na wanachama wake.
Kwa kumalizia nadhani Raisi yupo sawa kabisa kutowaongezea wafanyakazi mishahara yao na hii wasiongezewe mpaka watakapobadili mienendo yao na kuanza kufanya kazi kwa mapenzi,moyo wote na kuwahudumia vizuri wananchi.
Mshahara uongezwa pale mapato yanapoongezeka..tunaelewa kuwa JPM ana mapungufu yake mengi na uchumi wetu umeharibika sana kutokana na policies zake na kodi zilizopo kuwa nyingi ila hakuna maendeleo yeyote katika sekta yeyote ya serikali,mashirika ya serikali yamekuwa na mienendo mibovu sana
Wafanyakazi wa serikalini fanyeni kazi kwa mioyo yenu yote,fuateni ethics za kazi, kuweni na good planning and strategies namna ya kuliinua taifa letu acheni kulalamika na kufuata posho tu