Uchumi wa Nchi unapodorora kama huu wa Tanzania, lawama ziende kwa Rais au Waziri wa Fedha?

Kwani waziri wa fedha ni mkuu wa nchi?kwani mambo yanapokwenda kombo nyumbani kwako analaumiwa mama au baba?
 
Niliuliza hili swali lakini wadau mkanyamaza , Sasa tunaongea lugha moja ( mafuta , bando )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…