Uchumi wa nchi unaweza pimwa na vitu vingi, ila kwa haraka haraka unapimwa na GDP (uzalishaji wa mali ndani ya nchi), unemployment rate (kiwango cha watu wasiokuwa na kazi, ingawa wana sifa za kufanya kazi), inflation (mfumuko wa bei za vitu).......KWA MAWAZO YANGU YA UCHUMI, NAFIKIRI HIVI NI VIASHIRIA VYA KUPIMA UKUAJI WA UCHUMI WA NCHI..........