Hapa TZ bila shaka siyo uchumi umeporomoka kwa 10% bali ni 60% lakini hawa magamba wanaona ni heko tu. Naye Pinda anasadiki kusimama na kuwadanganya Watanzania kwa kusema uchumi unakuwa kwa 7%. SITASAHAU!! Halafu wanaambiwa wanadanganya Watanzania eti wanasema wanachukiwa. Acha wakae hapo ghorofani siku si nyingi watashuka tu.
inabidi hatua madhubuti zichukuliwe kuanzia ngazi ya chekechea ila Taifa lisizidi kuporomoka,kwani sasa hadi mwanangu wa Vidudu anajua maneno ya Fisadi/Kitu Kidogo.bila juhudi binafsi atakua Akijua kuwa rushwa/kitu kidogo/chai ndio mtindo wa maisha