Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Nyerere mim simkubali kwenye mambo kadhaa Ila kwenye swala la ardhi nampongeza sana alicheza kama pele Tanzania hata maskin wa kutupwa unauwezo wa kumiliki ardhi hiki kitu huwezi kukikuta kenya
Jiji kama Nairobi upper middle class kumiliki ardhi ni ishu sana lakin Hali ni tofauti sana Kwa Dar es salaam, familia za kawaida kwa dar es salaam zinauwezo wa kumiliki ardhi tofauti na nairobi
Currently Tanzania na mapangufu yake yote lakin uchumi wake upo inclusive yaani ukiwa na jitihada Tanzania unatoka kirahisi sana ni tofauti na majirani zetu