J jogoo chizi New Member Joined Dec 24, 2017 Posts 1 Reaction score 2 Dec 28, 2017 #1 Mfinyo wa upatikanaji wa hela na mzunguko wa hela ukiwa mdogo husaidia kundi la watu wengi kutafuta pesa kwa bidii na kujituma
Mfinyo wa upatikanaji wa hela na mzunguko wa hela ukiwa mdogo husaidia kundi la watu wengi kutafuta pesa kwa bidii na kujituma
Mgibeon JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 11,308 Reaction score 21,507 Dec 28, 2017 #2 Kasema HATAKI KUSIKIA MAMBO YA TAKWIMU... Mnataka aongelee wapi mumuelewe? Acheni kumkarahisha Mtoto wa watu! Hata yeye anamoyo hana jiwe wala reli kifuani.
Kasema HATAKI KUSIKIA MAMBO YA TAKWIMU... Mnataka aongelee wapi mumuelewe? Acheni kumkarahisha Mtoto wa watu! Hata yeye anamoyo hana jiwe wala reli kifuani.