Uchumi wa Tanzania upoje

visidady

Senior Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
157
Reaction score
68
Kuna siku nilikuwa naongea na mtu akaniambia uchumi wa tanzania umeshikiliwa na watu kutoka nje ya tanzania yaani 70% ya uchumi wa tanzania ndo umebebwa na ambao sio ws tz sasa mm sijaelewa inamaana hao wanaomiliki 70% sio raia wa tanzania au sio watu weusi''indigeneous ,wachaga wahaya, wapalee ,wazaramu ,,,,'' au hao 70 ndo wahindi na waarabu hili jambo huwa linanisumbua sana anaejua naomba anisahidie au kama anayo link ,au data anaweza aka weka ''attach' kwenye hii thread.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…