Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Ukweli ni kwamba kuendesha nchi kwa mchango wa uchumi wa tujiviwanda hakuna umuhimu sana wa umeme kuwa wa uhakika.
Ila kama unataka sekta ya viwanda iwe na mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi namaanisha uchumi wa viwanda hapa kuna umuhimu mkubwa sana wa umeme kuwa wa uhakika kwa kiwango kikubwa.
Huwezi mualika tajiri Elon musk awekeze Tesla Gigafactory katika umeme huu.
Huwezi mualika boss mkubwa wa BYD bwana Wang Chuanfu aje awekeze BYD Gigafactory hapa Tz kwa umeme huu.
Huwezi mualika Boss wa Apple Tim cook aje awekeze likiwanda la Apple hapa kwa matatizo haya ya umeme.
Huwezi mualika Boss mkubwa wa Huawei aje awekeze likiwanda kikubwa la Huawei barani Afrika kwa umeme huu.
Huwezi waalika matajiri wanaojitambua wa kijapan,kikorea, kijerumani, kimarekani, kiingereza, kichina, kisingapore n.k waje wawekeze maviwanda yao makubwa ya kutisha kwa umeme huu wa maruerue hapana haiwezekani.
Matapeli wa kichina wa Low budget wazee wa tuviwanda bubu twa kulipa wafanyakazi 3000 kwa siku hao ndio wanaweza kuendesha huto tuviwanda twao kwa huu umeme wa maruerue.
Tanzania tunafanya uchumi wa tujiviwanda sio uchumi wa viwanda nao ufahamu.