Uchumi wa viwanda bila kukusanya akiba za Watanzania wa chini, viwanda vitanufaisha wachache

Joined
May 16, 2016
Posts
13
Reaction score
1
Soko la ndani ni dogo sababu ya uwezo mdogo wa wananchi kununua bidhaa. Uwezo mdogo wa wananchi kujiwekea akiba inapelekea uwekezaji mdogo na viwanda kutokukua n.k.

Ugumu wa upatikanaji mitaji na riba kubwa huwezi kuzaa viwanda. Serikali inahadaa wananchi waliokosa matumaini wanaona kama kuna mwanga kumbe ni giza.

Nashauri SACCOS na VICOBA na vyama vya wananchi wa chini kila kata viwezeshwe kuchanga mitaji pamoja kufungua viwanda kwa pamoja au kuingia ubia na wawekezaji binafsi wa ndani au nje ya nchi na hata serikali za nje au hii yetu.
 
umenena vyema mkuu! bila shaka wamekusikia
 
umenena vyema mkuu! bila shaka wamekusikia
naona mgunia ya morogoro imejitahidi hadi imeshindwa kupata soko kwa ajili ya ushindani wameamua kukifunga sasa tungoje hivyo vinavyojengwa kama vitaweza huo ushindani ikiwa pamoja na gharama za uzalishaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…