Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Vijana wenzangu kwema?
Hiki kipindi napenda kukibatiza jina kutoka MITANO TENA mpaka SHIKA ULICHONACHO.
Kama una ajira shikia hiyo ajira yako, kama huna kazi basi shikia papo hapo. Una biashara shikia(chunga) biashara yako.
Huna biashara basi shikia papo hapo.
Rafiki yangu ana vichekechea 3 hapa Dar es salaam.
Kaletewa ujumbe/barua avisajili mpaka kufikia tarehe ya muhula mpya yaani 11 January 2021 la sivyo avifunge haraka. Jamaa kachanganyikiwa.
Ukiangalia faida anayoipata baada ya kuondoa gharama za uendeahaji kwa mwezi anabakiwa na pesa ya mbogamboga tu.
Sasa si mitano tena bali ni SHIKA ULICHONACHO