SoC03 Uchumi wetu

SoC03 Uchumi wetu

Stories of Change - 2023 Competition
Joined
Nov 26, 2020
Posts
4
Reaction score
1
UMASIKINI WETU UKO MIKONO MWETU ,NA UTAJIRI WETU UKO MIKONO MWETU
Tanzaniani ni nchi tajiri Sana inakila maliasiri Kila mkoa . Pia tanzaniani saizi inawa Wasomi wengi Sana ,kwa Nini Bado tu masikin.
Tu masikini kwa sababu watu wengi akilizetu tumeziweka kwenye kuajiliwa kuliko kujiajiri, hi imepelekea Wasomi wengi tuto tumia mariasili zilizopo nchini kwa ajiri ya kujipatia kipato .
Kukalia kulahumu serikali, akuna serikali iliyo wai sifia ,watanzani Bado wanaona kama hawatendewi aki asa pale wanapo lubuniwa na wapinza kitu ambacho kinapelekea kuto zingatia mambo ya msingi na kukalia kulaumu laumu tu na kutokuwa na mapenzi mema na nchi yao.
Kuto kupenda vitu vyetu wenyewe, pia kubagua vitu vyetu na kupendan vya kigeni pia upelekea kuhua ubunifu WA ndani na kypeleke kutegemea vitu kuto nje
Kukosa kuhugwa mkono kutoka serikalini, pia tunaendele kuw masikini kwa sababu atu hungwi mkono na serikali yetu juu ya ubunifu na kuona kama tunaenda kuhalibi viwango vya kimataifa

TUFANYEJE

Serikali kwanza ioneshe kuhunga mkono vijana wabunifu ,ili kuwatia moyo na kuwa Bora zaidi na pia kuwapa elimu juu ya ubunifu Wao.
Pili tupende vya kwetu , Kama mataifa ya nje wanavyo fanya mfano China ,Marekani na nchi zilizo endelea.
Tupunguze kulalamia badala yake tufanye kazi kwa bidii ili tukuze uchumi Wa familia zetu na nchi yetu.
Vijana pia Wasomi wahusike kwa kiasi kubwa kujenga taifa letu kwa kuwa wabunifu vyuoni na baada ya kumalizia vyuo ili kupunguza wimbi la ukosefu wa ajira,
Mwisho tushilikiane wote kwa pamoja kuelimishana juu ya kukuza uchumi wetu ili kuvutia wageni
 
Upvote 4
Back
Top Bottom