Uchungu wa kutoswa upo vipi

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
hey guyz mapenz nadhan yanajulikana na kila mtu anayajua ni mazuri hadi yanaleta furaha kupita kiasi ila bwana yanaumiza pia kupita kiasi so PlZ TOA MAWAZO AU TUPE EXPERIENCE YAKO YA UCHUNGU ULIOPATA ULIPOTOSWA je ulilia au?
 
Wewe......kutoswa kusikieni tu hivihivi, hasa kwa mtu uliyempenda kwa dhati na tayari ulishajiwekea nae malengo /kuishi nae kwa nia ya dhati kabisa! Kuvunjika kwa penzi kati ya wawili walopendana ni kubaya sana, for hakupigi kelele ....ila kwaweza acha alama na maumivu kwa mmoja wao or to both parties..., ambayo kufutika kwake yategemea sana na mind tune ya mhusika!!
 
Reactions: BAK
Wengne tumetoswa hadi mioyo yetu imeota sugu,so no more pains.
 
Ninachoamini maumivu ya mapenzi hayafanani kwa wote coz kila mtu ananyongo yake hivyo yote utakayoambiwa yanaweza kuwa tofauti pindi ukitoswa. hayo 2.
 
wengine hatujawahi kulifaham hilo.hebu tupe xpiriensi yako
 
Me hakuna bf aliyewahi kunitosa, me ndio nilikuwa nawatosa, ila cjui waliumiaje.
 
Maumivu ya kutoswa ni ya kawaida.
Maumivu makali zaidi ni yale ya kufumania.
 
huwezi kuelewa hadi yakufike.toswa kwanza ndio utaelewa
 
achana na kuachwa wakati mtu bado unampenda inauma hii kitu na hakuna mfariji isipokuwa ww na moyo wako kujisahaulisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…