pamiho JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 271 Reaction score 36 Jan 16, 2011 #1 Katika pita pita zangu nimekutana na ugomvi huu wa ngedere na mbwa. Mbwa alikuwa akitaka kumla mtoto wa ngedere (ngedere mdogo).
Katika pita pita zangu nimekutana na ugomvi huu wa ngedere na mbwa. Mbwa alikuwa akitaka kumla mtoto wa ngedere (ngedere mdogo).
Ms Judith JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 2,563 Reaction score 929 Jan 16, 2011 #2 wow, great heroes! big up moms
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,265 Reaction score 4,735 Jan 16, 2011 #3 Ulongo hamuachi tu, tueleze umewakuta mtaa gani?, kwa taarifa yako hawa wanyama wanatumiwa kule india, wanafanya michezo wapitanjia wanalipia, hapa hakuna attack wala rescue. Acha ulongo, kalale.
Ulongo hamuachi tu, tueleze umewakuta mtaa gani?, kwa taarifa yako hawa wanyama wanatumiwa kule india, wanafanya michezo wapitanjia wanalipia, hapa hakuna attack wala rescue. Acha ulongo, kalale.
S shosti JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 4,902 Reaction score 1,506 Jan 16, 2011 #4 nani kama mama!!!
Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,803 Reaction score 1,601 Jan 17, 2011 #5 Anaitwa Asha ngedere lol:smile-big:
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,150 Reaction score 9,255 Jan 17, 2011 #6 "mama ninakupenda sana" "mama ninakujali mwanao".. "uchunu wangu mimi mwana aujua yeye mama" "na uchungu wa mama yangu naujua mimi kinda lake"...lol Mr.Nice
"mama ninakupenda sana" "mama ninakujali mwanao".. "uchunu wangu mimi mwana aujua yeye mama" "na uchungu wa mama yangu naujua mimi kinda lake"...lol Mr.Nice