Uchungu wa mwana aujuaye mzazi

pamiho

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Posts
271
Reaction score
36
Katika pita pita zangu nimekutana na ugomvi huu wa ngedere na mbwa. Mbwa alikuwa akitaka kumla mtoto wa ngedere (ngedere mdogo).
 
Ulongo hamuachi tu, tueleze umewakuta mtaa gani?, kwa taarifa yako hawa wanyama wanatumiwa kule india, wanafanya michezo wapitanjia wanalipia, hapa hakuna attack wala rescue. Acha ulongo, kalale.
 
"mama ninakupenda sana"
"mama ninakujali mwanao"..

"uchunu wangu mimi mwana aujua yeye mama"
"na uchungu wa mama yangu naujua mimi kinda lake"...lol
Mr.Nice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…