Tuwekee jina la mtaa wenye barabara ya vumbi city centre. Kila mtaa mmoja wenye barabara ya vumbi city centre natoa 10,000/-Nimestuka baada ya kugundua kwamba kumbe kuna barabara nyingi za vumbi katikati ya Jiji la DSM.
Nilikuwa sitegemei kwamba kwa umri wa jiji kama hili tunaweza kuwa na hata mita 100 za barabara ya vumbi. Tafsiri yangu ya City center kwa Umri wa jiji la DSM ni eneo lote ndani ya km 5 toka old post office.
Mvua imeisha, mashimo karibia yote yamezibwa.Posta kule ndio panaongoza kwa mashimo kipindi cha mvua, unategemea nini?
I know, kwani barabara ziwe za msimu, si watengeneze kitu permanent?Mvua imeisha, mashimo karibia yote yamezibwa.
Vipi, nikitaja kariakoo mitaa yenye vumbi utatoa walau 5,000/=?Tuwekee jina la mtaa wenye barabara ya vumbi city centre. Kila mtaa mmoja wenye barabara ya vumbi city centre natoa 10,000/-
Mwisho utasema Magomeni.Vipi, nikitaja kariakoo mitaa yenye vumbi utatoa walau 5,000/=?