Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mtaalamu mmoja wa masuala ya Cyber ameichunguza na kugundua kuwa searching engine ya google ina mchezo wa kupuuzia maneno yako unayoandika ili kusearch na kukupa matokeo ya vitu vinavyotrend hata kama haviendani na ulichokitaka.
Henk van Ess, ameonesha mfano wa search aliyoifanya ambayo ilimletea matokeo tofauti. Hali hii ni ya kawaida unaposearch kwa kiswahili.
Lakini ameonesha uwezekano wa mtu kupata matokeo sahihi ya anachokitaka ikiwa atatumia mbinu zaidi zaidi ya kuandika keywords pekee.
Njia hizo ni pamoja na kutumia powerful search operators kama "", OR, Inurl nk