UCHUNGUZI WA WANA-SAYANSI Paracetamol hufupisha maisha

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363




Matumizi ya kila siku ya dawa za kupunguza maumivu kwa jina Paracetamol huongeza hatari ya ugonjwa wa moyo ,kiharusi na kusababisha mtu kuaga dunia mapema ,utafiti umeonya.


Utafiti huo umebaini kwamba wagonjwa wanaopewa dawa hizo za kupunguza maumivu

mwilini kwa mda mrefu wana hatari kubwa ya asilimia 63 kuaga dunia haraka.

Hatari ya kupatikana na ugonjwa wa moyo iko juu kwa asilimia 68 huku pia kukiwa na

hatari kubwa ya asilimia 50 ya kupatikana na vidonda vya tumbo ama hata kuvuja damu.

Paracetamol kama zinavyojulikana hupendelewa sana na madaktari wengi wakidai ni

salama kushinda Aspirin, ambayo imehusishwa na kuvuja damu tumboni na Ibuprofen

ambayo imehusishwa na magonjwa ya moyo na kiharusi.

Lakini watafiti wa Uingereza waliofanya uchunguzi huo uliowahusisha wagonjwa 666,000

wanasema kuwa hatari hiyo huenda ilipuuzwa na sasa wameagiza uchunguzi ufanywe

kuhusu usalama wa dawa hiyo.

Wanasayansi hao wanatoka katika taasisi ya matibabu ya Rheumatic and Musculoskeletal

iliopo mjini Leeds.

 
Sasa ni dawa gani iliyokuwa salama....?
Dawa za Kizungu hakuna hata
Dawa moja salama zote ni Dawa za sumu na zina Madhara kwa Binadamu kila siku Wana-Sayansi wanaleta Khabari mpya kuhusu Madhara ya matumizi ya hizo dawa za Kizungu. Dawa za Mitishamba zipo nzuri na hazina Madhara kwa binadamu.


Information about Drug Side Effects

A side effect is usually regarded as an undesirable secondary effect which occurs in addition to the desired therapeutic effect of a drug or medication. Side effects may vary for each individual depending on the person's disease state, age, weight, gender, ethnicity and general health.
Side effects can occur when commencing, decreasing/increasing dosages, or ending a drug or medication regimen. Side effects may also lead to non-compliance with prescribed treatment. When side effects of a drug or medication are severe, the dosage may be adjusted or a second medication may be prescribed. Lifestyle or dietary changes may also help to minimize side effects.

Top 20 Side Effect Searches




Side Effects A-Z Index:

AA + D Cracked Skin Relief → AcidMantleAcidophilus → Afrin Extra MoisturizingAfrin Menthol Saline → Alka-Seltzer Plus Immunity ComplexAlka-Seltzer Plus Mucus & Congestion → AltoprevAltorant → Anacin PM Aspirin FreeAnadin Paracetamol → Aqua LactenAqua Lube → Atopiclairatorvastatin → Azurette
BB & O Supprettes → BellatalBellatal ER → Biavax IIBiaxin → brimonidine topicalbrimonidine / brinzolamide ophthalmic → Bystolic
CC Phen → Carb-O-Lac5Carb-O-Lan10 → cefprozilceftaroline → Chemists Own Childrens Paracetamol 1-5 YearsChemists Own Paracetamol → Choloxinchondroitin → Clinique Acne Solutions Quick ClearingClinique Acne Solutions Spot Treatment → Complete Sinus ReliefComplete-RF → Cota-B-PlexCotab A → Cytuss-HC NR
DD 1000 IU → DeeptanDefen-LA → Desenex AFDesenex Antifungal Atheletes Foot Spray Liquid → Diabetic Tussin Night Time Cold & FluDiabetic Tussin Night Time Formula → diphenidolDiphenmax → Dr Scholl's Callus RemoversDr Scholl's Clear Away Wart Remover → Duratuss CSDuratuss DA → Dytuss
EE Pherol → emtricitabine / nelfinavir / tenofoviremtricitabine / rilpivirine / tenofovir → ErwinazeEry Pads → ExeFen-IRExelderm → Ezol
FFA-8 → fibrin sealant topicalfibrinogen → fluticasone topicalfluticasone / salmeterol → furosemideFuroxone → Fycompa
GG Bid → Geri-Lav FreeGeri-Protect → Guaifen DACGuaifen DM → Gynovite
HH 9600 SR → Hista-VadrinHista-Vent DA → hydrocortisone / lidocaine topicalhydrocortisone / lidocaine / psyllium topical → Hyzine
II-Fol Plus → insulin zinc extendedIntal → Izba
JJ-Cof DHC → Juxtapid
KK + Potassium → Kombiglyze XRKonakion → Kytril
LL Thyroxine Roche → LevotabsLevotec → Lodosynlodoxamide ophthalmic → Lyza
MM O S → MaxidexMaxidone → meprobamateMepron → mifepristoneMigergot → Motrin IB SinusMotrin Infant Drops → Mylanta Ultimate StrengthMylanta Ultra → MZM

NN Ice → NebuSalNecon 0.5 / 35 → niclosamideNico-400 → Novagest with CodeineNovahistine → Nytol QuickCaps
OO-CAL FA → Opcicon One-StepOpdivo → Oxectaoxiconazole topical → Ozurdex
PP & S → paramethadioneParaplatin → Percocet 2.5 / 325Percocet 5 / 325 → pHisoHexPhlemex → Polyfusor DPolyfusor S → PrenavitePrenavite FC → Prop-A-HistPropa P.H. → Pyrroxate
QQ Flex → Qvar
RR & C → RenafRenagel → Riopan Plus Double StrengthRisacal-D → Rynatuss PediatricRynesa 12S → Ryzolt
Ss-adenosylmethionine → Select-OBSelect-OB+DHA → Sinus Rinse Pediatric KitSinus Rinse Pediatric Packets → SprintecSprix → SudexSudodrin → Sytobex
TT-Athlete → Tenuate DospanTepadina → thiopentalThioplex → Trans-Ver-SalTransderm-Nitro → TriNessaTriNessa Lo → Tusso-DMTusso-DMR → Tyzine Pediatric Nasal
UU-Cort → UticortUtira → Uvadex
VV-C Forte → Vi-Daylin ChewableVi-Daylin Drops → Vita S ForteVita Zx → Vyvanse
WWakespan → Wytensin
XX-Hist → Xyzal
YY-90 Zevalin → Yutopar
ZZ-Bec → ZosynZotex → ZzzQuil

Source.
http://www.drugs.com/sfx/



 
MziziMkavu
huwa unaleta threads zenye uzito sana, kama kweli wana JF wangekuwa wafuatiliaji wa mambo sasa hivi watu wengi wangekuwa wameshaondokana na kasumba nyingi za kimagharibi ambazo hadi leo hii bado tunazing'ang'ania bila hata kujijua kama vile tunavyoving'ang'ania havina ukweli na mantiki yoyote.Hongera sana.Lakini wakati naisoma thread hii nilijua hata kabla sijaimaliza kwamba katika tafiti zote hizo wanazozifanya hawawezi kuanika pia kwamba hata ARVs nazo zina side effects kwa kuwa hii ni biashara kubwa zaidi ya zote hizo ulizozianisha wewe.
Nilipomaliza kupitia thread yako kweli sikuziona ARVs kitu ambacho nilishakijua kabla.ARVs is the number one killer medicine in this world.ARVs zote zina FATAL SIDE EFFECT kutokana na utendaji kazi wake lakini kamwe hawawezi kuziweka kwenye list hiyo.

Hapa ni aina za ARVs: Drug Name Abbreviations | Adult and Adolescent ARV Guidelines | AIDSinfo

Hapa ni side effects za mojawapo ya ARVs ambayo ni tenofovir disoproxil fumarate(soma sehemu ya WARNING),hii ni website yao wenyewe(unaona mwewe huyo chini ya website?) sio mimi,wanasema "life threatening side effects":
Tenofovir Disoproxil Fumarate (Viread) | Patient Version | AIDSinfo

LACTIC ACIDIOSIS ni kitu kibaya sana na ndio chanzo cha magonjwa yote sugu unayoyajua hapa duniani kama unajua vizuri sayansi.Na hii ndio inawaua wagonjwa wanaotumia ARVs ikiwafanya waonekane na magonjwa mengi ambayo anasingiziwa HIV kwamba yeye ndiye amesababisha.Nina evidences zote za kile ninachosema.Akili kichwani.
 
Tutateketea wengi kwa kweli maana paracetamol zinatumika sana kama first aid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…