Uchunguzi: Watanzania tukikosa tuzo kwenye vipengele hivi 2 kwenye Trace Awards usiku wa leo wa kulaumiwa ni Seven Mosha!

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Kama mnavyojua usiku wa leo ndio zinafanyika hizo tuzo za Trace huko Zanzibar.

Wakati napitia pitia nominations nimekutana na majina ya wasanii 2 ambao hawakustahili kabisa kuwepo kwenye nominations kutuwakilisha watanzania

Wa kwanza ni huyu Young Lunya. Yeye amewekwa kwenye kipengele cha msanii bora wa Hiphop ambapo atachuana na Nasty C, Odumodublvk, Sarkodie na Maglera Doe Boy wa Afrika Kusini.

Yaani ameachwa Billnass na Darassa, Young Lunya ndo anaenda kutuwakilisha kimataifa. Mwaka jana Lunya alitoa album ambayo literally ilifanya vibaya sana na hakutoa hit moja.

YOUNG LUNYA .png

Tunapelekaje mtu ambaye mwaka 2023 hakuwa na hit hata moja Afrika Mashariki na hata ukimlinganisha kwenye upande wa numbers kwenye digital platforms ameachwa vibaya sana na Darassa pamoja na Billnass? Kwanini Young Lunya?

Alafu kuna huyu Abigail Chams ambaye tangu atoe wimbo wake wa Nani aliomshirikisha Marioo mwaka 2023 hajawahi kusikika tena.

Alitoa EP ikabuma na nyimbo zote alizotoa baada ya hapo numbers zake kwenye digital platforms NI NDOGO mno.

Yaani ukiachana na kiki za mtandaoni, hajafanya chochote cha maana tangu 2023.
Mtu kama huyu anawezaje kushindana na mtu kama Shallipopi, Qing Madi, au Nkosazana Daughter wa Afrika Kusini?

ABIGAIL.png

Kwanini waliopendekeza majina huko Trace Awards wasingependekeza wasanii kama Jaivah na Kautaka yake, D Voice wa WCB Wasafi au hata Chino Kidd basi.

Ukiangalia kwa umakini, huyo Seven Mosha ni CEO wa Rockstar Afrika, lebo ambayo pia ilikuwa inasimamia kazi za Abigail Chams na Young Lunga.

Seven Mosha pia ni MWANAKAMATI wa lwenye tuzo za Trace Awards, kwa hiyo its obvious kwamba majina yao yalipendekezwa based na kujuana na sio merit.

Kwa style hii Bongo Fleva kutoboa huko nje ni kipengele kujuana ni kwingi sana
 
View attachment 3250718

Seven nilidhani ni Mzigua90
 
Kama hawa kujui nani atakupa mkate??...........wewe huoni hata kwa maderu.........yupo yupo ........lakini anaendelea kula vizuri
 
Wa kwanza ni huyu Young Lunya. Yeye amewekwa kwenye kipengele cha msanii bora wa Hiphop
Msanii bora wa hip hop Afrika nzima ama?

Maybe anastahili kuwa hapo lakini hastahili kushinda.
 
Back
Top Bottom