[emoji3][emoji3][emoji119][emoji119]leo ndio mtaijua bayern ni nani!!!
Yes bayern 5 - PSG 3Hansi Flick:
"Our style is reliant on high press to block spaces for the opponent high up the pitch, but as a result of course there are spaces left behind. We know that Paris have very fast players, but our guarantee to success has been to press high and we won't change much"
View attachment 1545767
Kwa haya maneno kazi imeisha,Hansi Flick:
"Our style is reliant on high press to block spaces for the opponent high up the pitch, but as a result of course there are spaces left behind. We know that Paris have very fast players, but our guarantee to success has been to press high and we won't change much"
View attachment 1545767
leo ndio mtaijua bayern ni nani!!!
Na PSG wakianza mechi kama walivyoianza kwa Atalanta... Lewandowsk na Gnabry watawachana wachanaIt is mouthwatering showdown
Bayern wakianza mechi kama walivyocheza na Lyon watapoteana..Mbappe,Neymar na Di Maria hawataacha kuwaadhibu
3-2..PSG win it
Nashangaa watu Bavarians wanavyoichukuliaKwa haya maneno kazi imeisha,
Psg pasi zake apigie huko huko golini kwake,
Bayern wanamkabia juu, yaan wanakuja kukukaba kwenye nusu yako.
Hadi kipa wako ukimpa pasi nae anakabwa.
Sioni psg akitembea game ya leo.
Akijifanya kufunguka, YA Barcelona yatamuhusu.
It is mouthwatering showdown
Bayern wakianza mechi kama walivyocheza na Lyon watapoteana..Mbappe,Neymar na Di Maria hawataacha kuwaadhibu
3-2..PSG win it
Nimekupa like kwasababu ya option yangu niliyoichagua ya GG.
Hii siyo mechi ya kukosa kuangalia, timu zote mbili zina safu kali sana za ushambuliaji, lolote laweza tokea maana mpira mchezo wa makosa.