Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Yule yule dogo ambaye mipira ilikua inamkataa
[emoji38][emoji38][emoji38]Tupo kibanda umiza kuna mtu amelala kabisa usingizi anakoroma na kalipa pesa yake eti[emoji23]
Goli linaingia ndio anaamka!
Ndio wameanza kujuta sasa
Na ndio katolewaKuna muda mtu unaemuona mjinga ndio anakuwa shujaa..
Leo Coman game ipo kwenye mikono yake
Mbona ni nzuri sana.Hii sub imekaa kifala sana
Dogo kabadilika aiseeYule yule dogo ambaye mipira ilikua inamkataa
Kipa Neur anafanya kazi kubwa sanaSasa nimeanza kuelewa kwanini huyu kipa kapewa u-captain