UCL Final: Tutegemee kuona nini katika fainali ya Madrid Vs Liverpool

Madrid aliko toka ni kugum mpaka hapa alipofikia.Amemfunga PSG,Juventus na mwishowe Munich hii inampa record nzuri ya kubeba hli kombe.

Lakini pia jambo lingne ndoo kombe pekee analolitegemea Zidane kwahyo lazma afanye vyovyote ili alibebe.

Kingne katika kikos ukianza kumchambua mchezaji mmoja mmoja Madrd wana wachezaji wa gharama kubwa na wenye uwezo binafsi wa kubadilisha matokeo kwa mda wowote.Lakini pia record ya kufika final na bila kupoteza toka 1981/1982 wakitoolewa na huyo Liverpool bado ni credibility inayo waweka pazur.Vingnevyo tusubir 90 minutes.
 
Nahisi mtoa mada n wale majamaa walioisakama Liverpool toka round 16 kuwa haifik popote lakin mwisho wa siku timu IPO final na bado haitoshi mkaona mje na matokeo yenu ya mfukoni haya ngoja tuone
Wana hasira kali sana ngoja nilete Lile Nani HOYA WENGA SIO KOCHA.
 
Natamani sana Liver wabebe ndoo hiyo lakini mziki wa Real hasa wakiwa wamefika hatua hiyo inanipa wasiwasi
Liver alishampiga Madrid na kuchukua Kombe,na mwaka huo liver Alitoa Roma nusu fainali.Liver ni nyokoo wewe,mwaka 2005 Liver aliwatandika jamaa zenu ndani nje Madrid alikufa na kisha Barcelona akafa.
 
Hii ni defamatory remark,,,,,,Liver alimfanya nini Roma? Roma alimfanya nini Barcelona? Na Barcelona alimfanyanini Madrid Laliga? Vipi kuhusu Sevilla na Man u? Man city unamjua? Alikufa mara ngapi Etihad na Anfield? Unajua Man city aliowakojolea? Lete fact za kimpira acha kuokoteza.Liverpool ni spirit siyo mchezaji mmoja mmoja.Kwa taarifa yenu,Liverpool ni timu ya tatu kwa kubeba makombe mengi ya Uefa,baada ya Madrid na Ac Milan.Hao walikuwa na ndo wababe wa soka la Ulaya baada ya Milan kufulia.Ni timu sahihi wakati sahihi ,acha dakika tisini ziamue.
 
Nahisi mtoa mada n wale majamaa walioisakama Liverpool toka round 16 kuwa haifik popote lakin mwisho wa siku timu IPO final na bado haitoshi mkaona mje na matokeo yenu ya mfukoni haya ngoja tuone
Kwanini unakuwa na mawazo mgando hivi? Badilika mwanamichezo, mtu kuweka maoni yake ndio anakupinga? hahaha unaweza ukaja kustaajabu mimi ni mwana Liver!!
 
Historia zipo ili zivunjwe
 
Real Madrid 3 - 4 Liverpool

Ronaldo wako kweli anaweza kupiga hat trick lakini habari ndiyo hiyo!
 
tegemea wazee wa liverpool tukibeba ubingwa tu!.......hakuna jingine.kombe la sita la UEFA hilo linakuja anflield
 
Chamberlain?? Liver wangechukua?? Dah, ni mitazamo tofauti hata hivyo.
 
msisahau refaree anaweza kufanya vitu vya ajabu maana kuna vitimu lazima kimbebeo hutumika japo kiduchu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…