Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Hahahaaaa, kwanini mkuu? Au watu wa Dar huwa wanakosea sana spelling?Wee jamaaaaaaaa,vp uko Dar?
Ningetamani warudie tena na mwaka huuLiver alishampiga Madrid na kuchukua Kombe,na mwaka huo liver Alitoa Roma nusu fainali.Liver ni nyokoo wewe,mwaka 2005 Liver aliwatandika jamaa zenu ndani nje Madrid alikufa na kisha Barcelona akafa.
Watu wa Dar wanavituko sana.Hahahaaaa, kwanini mkuu? Au watu wa Dar huwa wanakosea sana spelling?
game dk 90Me naona salah ndo atamaliza utata maana mwaka huu upepo umemkubali
sio wewe tu mkuu.kwa Liver hii mtajuta sana
Hapo ni gg..ukiweka flani ashinde lazma unyolewe nywele za ikwetaWaliobet kuliwa na wengine kushinda