UCL Final: Tutegemee kuona nini katika fainali ya Madrid Vs Liverpool

Mimi naamini mabeki wataamua mchezo wa leo ikiwemo kufunga magoli, nategemea game itaenda 120 lakini haitofika penati. Nampa Real Madrid ushindi wa 3-1

Tupia utabiri wako hapa halafu tukutane baada ya mechi kuisha.
 
mtaniambia badae kwa mkeka ambao ninao Leo ambao hunaonyesha fixed match's, MADRID WIN THIS MATCH
kwa anaye taka nimtumie mkeka ni 1500 tu ambao hataweka stake ya 500 tu na kujipatia 2,000,000 tu
 
C uweke million utajirike mwenyw kama vp
 
mtaniambia badae kwa mkeka ambao ninao Leo ambao hunaonyesha fixed match's, MADRID WIN THIS MATCH
kwa anaye taka nimtumie mkeka ni 1500 tu ambao hataweka stake ya 500 tu na kujipatia 2,000,000 tu
kwanini usiweke elfu tano utoke na mamilioni ya kutosha kuliko kusubiri 1500 ya masikini mwenzako mtanzania
 
weka hapo kuna watakao kukumbuka kwa fadhila.
 
No extra time in tonight game, real madrid will thrash liverpool for more than two goals within 90 mins.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…