UCL Final: Tutegemee kuona nini katika fainali ya Madrid Vs Liverpool


Tegemea waamuzi kuwabeba real madrid.
 
Nimekufananisha na Mwl Kashasha.
 
Refa atakuwa Man of the Match
 
Game Itakuwa ngumu ila Real Madrid ana asilimia kubwa ya kubeba uzoefu Una wabeba
 
Real Madrid 1 liverpool 0 goal by ronaldo tukutane baada ya mechi
 
FORTALEZA nimeanza kukuogopa kutokana na aina yako ya utabiri jinsi unavyokwenda sawa.
nakumbuka kuna thread ulianzisha ukaitabiria newcastle united ushindi dhidi ya manchester united lakini watu wengi walikupinga na hata mimi binafsi sikuamini utabiri wako lakini kilichotokezea kimaeendelea kuwa historia.
Rekodi hazidanganyi: Mourinho hajawahi kuifunga Newcastle ikiwa St. James Park
ulitabiri top 4 msimu huu zitakuwa manchester city, manchester united, liverpool na tottenham na kilichotokezea kimebaki historia. Kuelekea Msimu mpya wa EPL tupia Top 4 yako hapa!
ulitabiri mourinho atamfunga guardiola ndani ya etihad na hatimaye kilichotokezea kimekuwa ni historia Msitarajie Man City kumfunga Man Utd
leo hii nilipoiona thread hii asubuhi nikajiambia nafsini mwangu ngoja nione je utabiri wako utatimia tena, hongera sana muheshimiwa.​
 
Kwa atakayekuwa anahitaji fixed tips kwa kesho hatanicheck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…