UCL: Hatua ya Robo Fainali kuanza kupigwa leo

UCL: Hatua ya Robo Fainali kuanza kupigwa leo

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Ni Usiku wa Ulaya!

Hatua ya robo fainali inaanza leo. Ambapo leo michezo miwili itapigwa.
1. Man City Vs Dortmund
2. Real Madrid Vs Liverpool

Na kesho jumatano itapigwa michezo mingine miwili ya robo fainali ambapo ni;
1. Bayern Munich Vs PSG
2. Porto Vs Chelsea
IMG_7962.jpg

Baada ya hapo timu hizi zitarudiana ndani ya wiki zijazo na mshindi wa jumla (Aggregate) atafuzu kwa Nusu Fainali.

Tukutane hapahapa kwenye uzi huu kwa updates za mechi zote zaleo na za kesho, Usipitwe...

Kumbuka: Mechi zitaanza saa 4:00 usiku kwa saa za afrika ya mashariki

Tukianza na mechi za leo unampa nani nafasi? Karibuni....
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Liverpool itaifunga Real Madrid ambayo beki zake za muhimu kama Varane, Ramos hazipo.

Option waliyonayo leo ni Militao na Nacho pale beki ya kati. Leo Jota anaweza kupiga hat trick.
 
Liverpool itaifunga Real Madrid ambayo beki zake za muhimu kama Varane, Ramos hazipo.

Option waliyonayo leo ni Militao na Nacho pale beki ya kati. Leo Jota anaweza kupiga hat trick.

Safi mkuu, kukosekana kwa mabeki nguli wa kati wa Real Madrid, kumenifanya hata mie niwape nafasi kubwa Liverpool.

Japo kwenye mpira lolote linaweza kutokea, tusubiri dk 90
 
Yeah haipp stor tumia link hapo juu usisahau kushare
 
Back
Top Bottom