Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Liverpool itaifunga Real Madrid ambayo beki zake za muhimu kama Varane, Ramos hazipo.
Option waliyonayo leo ni Militao na Nacho pale beki ya kati. Leo Jota anaweza kupiga hat trick.
Kweli mkuu tusubiri dakika 90.Safi mkuu, kukosekana kwa mabeki nguli wa kati wa Real Madrid, kumenifanya hata mie niwape nafasi kubwa Liverpool.
Japo kwenye mpira lolote linaweza kutokea, tusubiri dk 90
Mkuu mbona siipati hii app playstorePakua app ya Naistream upate watch kwa Simu yako JanjaView attachment 1745339
Man city anaongoza 1 tayari dk ya 19 de bruyne
Man City wanapata penati