UCLAS/ARU wahanga.

UCLAS/ARU wahanga.

zumbemkuu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
11,075
Reaction score
9,263
Habari yenyu wadau,
nasikia jana kwenye news star tv walisema wale wanafunzi wahanga wa vyeti vya kumaliza UCLAS (sasa ARU) watapewa vyeti vyao UDSM, kwa mwenye taarifa naomba atujuze kama walisema lini wanatoa, mwaka wa 4 sasa sina cheti, asanteni.
 
Mimi nimesikia kupitia gazeti moja la Kiswahili (nimelisahau jina) watapewa vyeti kwenye mahafali yajayo ya UDSM, nahisi mahafali hayo ni wiki ijayo. Pole sana ndugu
 
mi nimesikia ila hawakusema wanaanza kutoa lini vuta subira kaka mambo yatakaa sawa c mda mrefu
 
Habari yenyu wadau,
nasikia jana kwenye news star tv walisema wale wanafunzi wahanga wa vyeti vya kumaliza UCLAS (sasa ARU) watapewa vyeti vyao UDSM, kwa mwenye taarifa naomba atujuze kama walisema lini wanatoa, mwaka wa 4 sasa sina cheti, asanteni.

soma gazeti la HabariLeo ya leo,mahafali UDSM ni Jumamosi hii 27.10 .2012.
 
Back
Top Bottom